Michezo ya Kusaidia Ukuaji wa Mtoto wa Mwaka 1

Sasa mwanao ana umri wa mwaka mmoja!  kwa sasa atajihusisha na shughuli nyingi kama vile kuimba na midoli, michezo ya tofali, mashairi na maumbo. Anakua “busy” kwa kiasi cha kutosha. Uwezo wake wa kuona, kuhisi, kutambua vitu vichafu, kusikia na kuzungumza kwake kutakua kwa kiasi cha juu sasa.

Programu ya AfyaTrack

Programu ya kwanza nchini Tanzania ya kufuatilia maendeleo ya ujauzito na ukuaji wa mtoto kwa lugha ya Kiswahili.