Huu ni wakati bora wa kucheza michezo ya simu na mwanao
Mazungumzo kwa simu
- Mshikishe simu mtoto na uigize kupokea na kuzungumza naye kupitia simu
- Tengeneza mazungumzo ya mda mfupi kumfanya mtoto aweze kuyapokea
- Michezo itakua kitu cha kufurahia
Kucheza ngoma
Kucheza ngoma kunafanya kuimarika katika kusikia kwa mtoto
- Chukua makopo matatu ya plastiki
- Tumia vijiti au kijiko kupiga ngoma pamoja na mwanao
Hakikisha hii inafanyika chini ya uangalizi wako kumbuka mtoto ni mdogo anaweza kujidhuru na vijiti.