Michezo ya Kusaidia Ukuaji wa Mtoto wa Miezi 11

Mtoto wako sasa amebakiza mwezi mmoja kuwa mkubwa wa mwaka mmoja, wakati huu atashiriki michezo mingi kuliko ile miezi sita ya mwanzo, wakati huu amekua kwa kiasi. Atajihusisha na vitu vikubwa kama uimbaji wa nyimbo, mwanao sasa ataimba kwa kukufuatisha na kuanza kutamka baadhi ya maneno machache.

Programu ya AfyaTrack

Programu ya kwanza nchini Tanzania ya kufuatilia maendeleo ya ujauzito na ukuaji wa mtoto kwa lugha ya Kiswahili.