Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kushika kalamu vizuri na kuchora-chora kwenye karatasi
- Anaweza kuzungusha mnyororo wa baiskeli kwa miguu yake unapomuweka juu ya baiskeli.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Ataweza kusugua meno ukimpa msaada kidogo
- Ataunganisha maneno vizuri
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kurusha mpira juu ya kichwa chake
- Atuchukua midoli sehemu ulipohifadhi na kuirudisha baada ya kumaliza kucheza.
- Ataonyesha dalili ya kuwa tayari kufundishwa kujisaidia