Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anatumia maneno kamilifu
- Anafurahia kucheza michezo ya kuigiza, mfano kukuiga wewe mama yake
- Anapenda kuendesha midoli
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Kuitikia maelekezo kama kaa chini.
- Kulisha midoli yake.
- Kuongea vizuri zaidi na kueleweka.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Atacheza mziki
- Atapanga midoli yake kulingana na rangi,umbo au ukubwa
- Atapiga mpira mbele.