Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Ataanza kutoa milio inayotokana na mjumuisho wa silabi.
- Anajivuta asimame na kukaa.
- Anagonga, tupa na kudondosha vitu.
- Anajitahidi kushika kijiko unapomlisha.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza(nusu ya watoto wanazifikia)
- Mtoto wako anazunguka kwa kushika vitu kama samani.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Mtoto ataanza kuongea na kunong’ona maneno mengi na kuiga milio na sauti tofauti hasa kipindi hichi anapokaribia kuongea.
- Kutoa sauti tofauti kama “mamamama” and “bababababa”
- Anapenda kucheza mchezo wa kujificha “peek-a-boo”