Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anakaa bila msaada
- Anaita mama au baba au wazazi wote.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Kutambaa vizuri.
- Kusimama kwa kushika vitu
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Ataanza tabia ya kushika kitu kwa nguvu hasa kwa kutumia kidole gumba na kidole cha katikati.
- Ataonyesha ishara akitaka kitu.
- Kusimama kwa kushika vitu na kuzunguka sana.