Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Ataanza kutazama nyimbo za watoto
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanaweza)
- Katika mwezi huu wa sita mwanao ataweza kufikia hatua kubwa za ukuaji kama kujisogeza na tumbo kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kuelewa maneno rahisi.
- Kuitikia unapomuita jina lake.
- Kutamka silabu moja moja kama ma-ma