Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Kusema mama na baba kwa mtu husika.
- Kusimama mwenyewe sekunde chache.
- Kunyooshea vidole vitu.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Wanaiga kazi za wengine.
- Ataanza kuogopa kuachwa hasa wakati ukiwa unatoka na kumuacha.
- Kutambaa kwenye ngazi akisimamiwa na mtu.
- Kuelewa maelekezo rahisi.
- Mtoto anasaidia kurudisha midoli kwenye boksi au mahali inapokaaga.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kuanza kupiga hatua chache.
- Kutumia kikombe kunywa kitu.
- Anaelewa kudumu kwa kitu.
- Atatoa sauti inayobadilika milio