Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaruka kwa mguu mmoja.
- Anashuka ngazi bila kushika ukuta.
- Anaimba nyimbo alizosikia katika vipindi vya watoto.
- Anataja majina ya baadhi ya rangi na maumbo.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anataja jina lake lote.
- Ana misamiati ya maneno 1500.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anaweza kushika mpira.
- Anahesabu zaidi ya kumi.
- Anazitambua herufi zote.