Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikiz)
- Anapenda kuunda na ufundi.
- Anapenda kuzunguka mpaka apate kizungzungu, kuruka sehemu ndefu na kudondoka ghafla (kuporomoka).
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anapendelea michezo yenye kanuni za kufuata.
- Anapenda kuomba kibali /ruhusa.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anatumia maneno na sentensi alizokariri
- Anaanza kuainisha na kutenga hisia na majibu ya watu