Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anacheza na wenzake michezo ya kuigiza-baba na mama.
- Anaweza kufanya maongezi na wewe.
- Anashirikiana na kumpa rafiki yake nafasi ya kuchezea midoli yake.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Ameweza kuelewa uhusiano wa wingi wa kitu, namba na vipimo.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Jasiri katika uwezo wa kufanya kitu.
- Anapenda kutumia muda wake na mama na baba.