Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anajifunza maneno mapya haraka.
- Amejifunza kazi za ndani ndogo ndogo kama kurudisha midoli yake.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kujizuia haja kubwa na ndogo.
- Anaruka urefu mfupi.
- Anatoa msaada ukiwa unamuogesha.
Mwanao anaweza kuwa hodari katika (watoto wachache wanaweza)
- Anatengeneza marafiki wenye vitu vinavyofanana.
- Anatumia lugha sahihi muda mwingi.
- Anaweza kuhesabu mpaka kumi.
- Anabeba kinywaji bila kumwaga.