Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anapanda ngazi kwa uangalifu.
- Anachora maumbo vizuri kwa penseli.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kubeba vitu vidogo, bado anahitaji msaada kufunga kamba za viatu na vifungo.
- Anapenda kucheza na wenzake.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anabeba kinywaji bila kumwaga
- Kudaka mpira.