Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anajua na anatumia angalau maneno 50 rahisi
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kupiga mpira
- Anarusha mpira kwa mikono yake bila kuanguka
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kuongea na kueleweka wakati mwingi.
- Kuchora mstari kwa ulalo au kusimama.
- Kutumia mkasi.