Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaonyesha huruma kwa wenzake.
- Matumizi ya neno HAPANA katika maombi yako.
- Anaweza kuongea sentensi nzima.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza(nusu ya watoto wanazifikia)
- Utambuzi wa herufi vizuri.
- Anaanza kupendelea chakula aina moja
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anachagua sana, na kuonyesha kuridhishwa na kitu au kutoridhishwa.
- Kushika lugha zaidi ya moja.