Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anavaa mwenyewe
- Anapiga mswaki na kunawa mikono mwenyewe
- Anacheza kwenye makundi na wenzake
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Kaimarika katika uchoraji.
- Vipaji vyake vinaanza kuchipua.
- Anashirikiana na wenzake.
- Anapungua kimwili sasa anavyokubaliana na maisha.
- Anachora picha inayoeleweka inaweza kuwa picha ya familia.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anajua siku ya leo na kesho.