Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anatumia misamiati ya maneno karibia 900.
- Anaelewa maneno kama “ndani” “nje” “nyuma” na “mbele ya”
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anajaribu kufanya mawazo yake kwa vitendo.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anatengeneza muundo na maumbo, na kujifunza kuyataja na kuyatambua.
- Anaweza kuainisha picha za watu, wanyama, chakula, usafiri n.k.