Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anazunguka haraka zaidi.
- Anajua namba moja na mbili.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anakula mwenyewe.
- Anaweza kuvaa na kuvua koti.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kuruka, kukimbia na kupanda ameweza kufuzu.
- Anaelewa uelekeo unapomuelekeza.