Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kudhibiti usogeaji wa viungo vyake.
- Anaelewa vizuri maana ya “yangu” “yake”.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza(nusu ya watoto wanazifikia)
- Uwezo wake wa kuona umeimarika.
- Ni rahisi kumuacha nyumbani bila kusumbua.
Mwanao anaweza kuwa hodari katika(watoto wachache wanazifikia)
- Anaruka kwa mguu mmoja.
- Anachora duara.
- Anavaa bila msaada.