Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kuhesabu.
- Anatofautisha rangi tofauti.
- Anajifunza kusoma herufi.
- Anacheza na kujumuika na wazazi.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Muoga usiku kulala mwenyewe lakini atashinda uoga huu.
- Anatengeneza marafiki
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Muelewa wa hadithi na anaweza kuitikia maongezi.
- Anaweza kutumia choo mchana na usiku vizuri.