Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anagundua maumbo tofauti kama duara
- Shahuku inaongezeka
- Aibu inaongezeka
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kuvaa baadhi ya nguo kama shati.
- Anaweza kusimama na miguu moja na kisha mwingine.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anauliza maswali mengi kama “kwanini ndege zinapita juu ya nyumba?” au “watoto wanatoka wapi”