Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaongea sentensi fupi ya kueleweka nyenye maneno 3-4.
- Anaosha vyombo na wewe au dada yake.
- Anaweza kuruka na miguu yote miwili.
- Anapanga vitu kwa ukubwa na rangi.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anapenda kucheza na rafiki zake
- Yuko tayari kufundishwa kujisaidia
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anaweza kuendesha baiskeli za watoto zenye magurudumu matatu.