Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anapiga mswaki kwa msaada wako.
- Anaweza kutaja majina ya rangi chache.
- Anaweza kunawa mikono yake.
- Anaweza kutaja majina ya sehemu za mwili wake kama macho,masikio.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anamtambua rafiki yake mmoja kwa jina.
- Anaweza kusimama na mguu mmoja.
- Anapenda kucheza na rafiki zake.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kuota magego ya pili
- Kuvaa moja ya nguo yake mwenyewe