Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kuongea na kueleweka mara nyingi.
- Anaweza kuvaa nguo.
- Anavutiwa na rangi na maumbo ya vitu.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Ataanza kusimama na miguu yote
- Ataweza kuruka mbele na miguu yote
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anacheza mchezo wa kuigiza
- Anachora mistari iliyonyooka
- Kusimama na mguu mmoja
- Kuimba nyimbo za watoto alizosikia katika simu yako au kipindi cha watoto.