Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kutumia maneno 50.
- Anaweza kutaja majina ya picha anazoziona kwenye kitabu.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kuongea sentensi mbili au tatu.
- Anaweza kuimba nyimbo rahisi anazosikia.
- Anaendelea kucheza na watoto wengine.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Ataweza kushuka ngazi.
- Kujielezea mfano nini anapenda na nini hapendi.
- Atauliza maswali sana?