Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kupiga teke mpira kwenda mbele.
- Anagiza tabia za wengine.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kutegua vitendawili na chemsha bongo ichache kwenye michezo na wenzake au mwenyewe.
- Anaweza kuonyesha sehemu za mwili wake
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anaweza kuvaa nguo mwenyewe kwa msaada kidogo kutoka kwako
- Anaelewa kinyume cha maneno kama mweupe –mweusi