Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kupanda ngazi.
- Anapenda kusaidia kazi nyumbani.
- Anajiwekea malengo mwenyewe kama kurudisha midoli ya kuchezea mahali ilipokuweo awali.
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kurusha mpira kuelekea mbele.
- Anaweza kupiga mpira.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Anaweza kutengeneza sentensi fupi fupi.
- Ataweza kushuka ngazi.