Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Kucheza na mpira
- Ukuaji wa misamiati mpaka maneno matano
- Kutembea kinyumenyume
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)
- Anaweza kuchora mstari
- Anakimbia vizuri
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kupanda ngazi
- Kusaidia kazi nyumbani,kazi nyepesi kama kukuletea simu yako pale unapomtuma.
- Kunyamazisha kwa kuweka kidole chake mdomoni na kusema “shh”