Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia):
- Wanatumia maneno mawili vizuri kama “mambo”
- Anaweza kuinama na kuokota kitu
- Anasimama mwenyewe
Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia):
- Mtoto kujiangalia kwenye kioo
- Anakunywa maji au maziwa kwa kutumia kikombe chake, bila msaada.
- Anacheza mchezo wa kujificha.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia):
- Kuunganisha maneno na ishara pale anapohitaji kitu
- Atajitahidi kunyanyua vitu vizito
- Kuviringisha mpira