Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)
- Anaweza kutofautisha rangi kuu.
- Atajiviringisha mpaka atalala na mgongo kama ulimlaza kwa tumbo.
- Anajifurahisha mwenyewe kwa kucheza na miguu na mikono
Hatua za ukuaji zinazojitokeza(nusu ya watoto wanaweza)
- Mtoto atageuka kuelekea sehemu sauti mpya inapotoka.
Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)
- Kukaa (kuketi) bila msaada wako.
- Kujigeuza akalala na tumbo kama ulimlaza kwa tumbo.
- Kuweka vitu mdomoni
- Anaonyesha dalili za kuogopa watu wapya.