Mtoto Miaka 2 na Miezi 6 – (Miezi 30)

Jinsi mtoto anavyokua

Ikiwa mtoto wako anaonyesha kuwa yupo tayari kwa kujifunza kujisaidia kwenye poti wakati wa haja kubwa, haraka muanzishe mazoezi hayo japo watoto wengine hawapendi mpe mazoezi kwa mda na atazoea

Inachukua mda kwa mtoto kuwa mkavu usiku kuliko wakati wa mchana, na wengi wao hujichafua wakati mwingine mchana.

Programu ya AfyaTrack

Programu ya kwanza nchini Tanzania ya kufuatilia maendeleo ya ujauzito na ukuaji wa mtoto kwa lugha ya Kiswahili.